Pacha Lyrics
Christian Bella-Pacha
Kila ukweli sio lazima useme!
Ikizidi sana lazima ufunguke;
Nilikuwa dhahabu mikononi mwa kipofu
Hakujua dhamani yangu alinidharau,
Udongo wa mfinyanzi aridhini!
Kujua dhamani yake waulize wafinyanzi!
Nishapata pacha wangu wa milele;
Katambua dhamani yangu tunapendana
Pacha ni moja ya madini;
Mola baba alificha mbinguni!
Umeshushwa chini ili uwe wangu tu;
Sauti tamu kama nyoya linachokonoa sikio
Mikono yako inanimaliza homa bila dawa
Ndo maana nakupendaga sana
Mi nakupenda baby aah baby!
Nimepata pacha ujue;
Mi nakupenda baby aah baby!
Aah pacha pacha wee;
Mi nakupenda baby aah baby!
Raul mashubedi modern fashion!
Nani mwenye kipimo cha mapenzi alete
Nipime watu wote waone!
Yes mimi, ju mapenzi ananipaga mimi!
Pacha pacha wangu we!
Mshumaa; bei rahisi
Unaweza unguza nyumba ya mabilioni
Chungana na maneno ya wapambe
Yanaweza haribu penzi letu
Mtoto wa mama eeh !
Si unajua fresh;
Nakupendaga sana, mwana mama eeeh
Bado pacha usisahau
Mi nakupenda baby aah! baby
Nimepata pacha ujue!
Mi nakupenda baby aah baby
Aah pacha pacha wee
Mi nakupenda baby aah baby
Bill Gate Katunzi, mzamili!
No comments yet