Chonjo Lyrics
Trio Mio-Chonjo
Trio Mio niko chonjo,
Mamistari niite njonjo,
Sina mbogi ,niko solo
But ukizua zogo,
Unaeza ponwa, upigwe koto
Tukamanga, kimangoto
And I’m saucy ,with the rojo
Mi ndo mchuzi ,mi ndo Royco
Trio Mio chonjo,
Sinaga mbio bure slomo,
Niko ma area, na mangoko
Tunajinyuria na malocal,
Kameriet kamedonjo,
Na niko shiet na masonko,
Ka hunikanji issa no,
Nina kipaji mi ndio lotto
Jackpot mi nadai ,bhajia za Sunford
Arif yangu ametuma ,tuchujwe kwa tips
Anabonga ka ,mteja wa tampoon
Tuliseti kapyenga kwa balcon,
Ikachachisha mpaka ,kwa ground floor
Caretaker ni vaite ,murume mahuru
Tandika Mejja wa Kansoul,
Haina noma tuparu zilipuke,
Tuskizie para za ,mapunjure
Mafutani ka ngozi ya nguruwe,
Hii ni mragi magoti zipumue,
We gumbaru kizungu ya movie
Ati huku umekuja na nduthi
Mamitumba unachocha ni Gucci
Trio Mio niko chonjo,
Mamistari niite njonjo,
Sina mbogi niko solo
But ukizua zogo
Unaeza ponwa ,upigwe koto
Tukamanga kimangoto,
And I’m saucy with the rojo,
Mi ndo mchuzi mi ndo Royco
Trio Mio chonjo,
Sinaga mbio bure slomo,
Niko ma area na mangoko
Tunajinyuria na malocal
Kameriet kamedonjo,
Na niko shiet na masonko,
Ka hunikanji issa no no
Nina kipaji mi ndio lotto,
No comments yet