Blood Lyrics
Chidi Beenz – Blood Lyrics
Yeah kingkong kingkong king Kong
I ain’t ready to die yet
Nyota Saba ndio hizo direct
Twende get low ipo ndani yangu
Tunafly naishi kujibeba Kama kwenye garage
Roasts wanasoma Sanar kwenye my page
All over the world Sauti inapaa juu
Unajua Kila Kitu times two
Bloody chain Bloody chain
Unataka sifa Nina sifa kwenye brain
Friday Kuna weekdays everyday
Tunazipuliza yeah yeah
I was thinking about the hip-hop and my friends
Represent the big big impact nigga who shot yah
Mavumbi Yana Pito ukitaka
Hakuna Matata number zinachange kaa Kiraka
Changu Changu Changu pia
Kiwanjani bado unachungulia
Maneno ninayo umbea ninayo
Tusi bila kicheko yani bila uhu uhu
Mwenye Nia Ana njia yeah Tunarudia rudia
Yey bloody chain Dala Dala kwenye chain
Na Sina noma noma namaintain
Sifa bila Sifa kwenye brain
Ice cube pay day Friday
Kuna weekday Kila weekday ni Siku
Tunazipuliza Yeah yeah
Mr bombastic very fantastic
No comments yet