Nayo Nayo Lyrics
Nayo Nayo Lyrics by Byzzo The Baddest
Byzzo Byzo the Baddest
Fom imejipa Ni Mimi nayo nayo
Hakuna Kulegeza Ni Mimi nayo nayo
Nayo nayo nayo nayo
Fom imejipa Nayo nayo
Hakuna Kulegeza Ni Mimi nayo nayo
Fom Imejipa Ni mi nayo nayo
Hakuna Kulegeza Ni Mimi nayo nayo
Kuteleza utateleza Ni mi nayo nayo
Nayo nayo nayo nayo nayo
Daily mi husimamisha silalishi
Nayo nayo
Ufunge mlango utaingia na Dirisha
Nimekua daily ngoma zangu wanazidakisha
Studio Ni church vile mi daily hukesha
Ngoma zangu noma huwa Campo zinanyesha
Kuingiza hizi mapesa Kangeus kakijiingisha
Lazima Nitakateka
Mi Ni seremala lakini sijawai tupa mbao
Mi si mkia nilipigwa nikakua fao
Huezi nikazia kaa karao
Wakinicheki napendeza
Mi Ni msafi mi ndio nachafuanga meza
Si Leo ndizi katameza
Fom imejipa Ni Mimi nayo nayo
Hakuna Kulegeza Ni mi nayo nayo
Kulegeza utaeleza Ni mi nayo nayo
Nayo nayo nayo nayo nayo
Fom imejipa Ni mi nayo nayo
Hakuna kulegeza Ni mi nayo nayo
Fom imejipa Ni mi nayo nayo
Ka Ni rubbish niite takataka
Inataka Asali Ile nyuki itaifuata
Siwezi legeza juu mi Sina kiuno
Pekejeng pekejeng hata nikiwa miuno
Jitete jifanye we ni criminal
Kakijipa usilegeze
Iwe Mali Safi na asikatembeze
Lima Iyo shamba si uko na Jembe
No comments yet