Nairobi Lyrics
Buruklyn boyz-Nairobi
Jo tano nane!
Kwani ni kesho,
Si kesho!
Tunatake over Nairobi mzima!
East West mpaka ‘
Hii ndio mbogi imeivisha drill!
254 tunachafua scene
Si ndo the trend Ntv’
Kwa hii game si ndo ma!
Na ka kuna msee anabishana
Akam hizi sides atry kuresist
Tunatake over Nairobi mzima!
East West mpaka CBD’
Hii ndio mbogi imeivisha drill!
254 tunachafua scene
Si ndo the trend NTV!
Kwa hii game si ndo ma MVP
Na ka kuna msee anabishana
Akam hizi sides atry kuresist
Kwa wale hawanirecognise ah mi ni big boy unno!
Kwa hizi sides unakaangwa hata kama umeivisha judo!
Manambling tunawaround ni ka tunacheza Judo!
Mresh wako anaslide DM ah sina time ya makuro
Bro wangu alipurura stock – nikabaki nimefinesse plug
Hawa mariza wanaona wanaeza do ju wamepiga marags;
Itabaki tutoke kwa ground tuache kuitwa malocal thugs’
Mahaters kwendeni huko si hufanya kitu ju ya mafans!
Tuko on top juu ya KCC maops sere mzima tunawapink!
Keep up V au COD but tunareal kwa hizi streets!
We ready to risk hatutajibali hatuna pupa tuhang na Fally!
We jua hii gang ni kali inapendwa na madem wa geti kali
Tuko strap na makoro incase!
Hawa manambla wajigas wanadai smoke
Tuko strap na makoro incase’
Hawa manambla wajigas wanadai smoke
Maziwa zetu ziko freshi ndenu’
We uko na ndegi zenu imbo’
Utasurvive aje kwa jungle man
Na hutafuti doh’
Tunatake over Nairobi mzima!
East West mpaka CBD’
Hii ndio mbogi imeivisha drill
254 tunachafua scene
Si ndo the trend NTV!
Kwa hii game si ndo ma MVP!
Na ka kuna msee anabishana
Akam hizi sides atry kuresist
Tunatake over Nairobi mzima
East West mpaka CBD!
Hii ndio mbogi imeivisha drill
254 tunachafua scene
Si ndo the trend NTV
Kwa hii game si ndo ma MVP
Na ka kuna msee anabishana
Akam hizi sides atry kuresist
Makuno wameivisha drill
254 si ni manamba uno
Unaeza uliza namba uno mi nadai cash
Doh wap hadi ma Euros
Tbob ki – an on T man I got gully on me
Kwa kichwa nina ma alphabet ABCD
Stay tune kwa hii TV na !
team inashut down CBD.
No comments yet