Mambo Shwari Lyrics

Breeder Lw- Mambo Shwari

Nasababisha na maarif,
Ni mabrenjin ,na mangwangi
Majaber, wako ndani
Ka huna wako samahani

We unatoka area gani,
Hatukujui na hatujali,
Ka hazitashuka mi sidhani

Good vibes mambo shwari,

Nasababisha na maarif,
Ni mabrenjin na mangwangi,
Good vibes mambo shwari,
Good vibes mambo shwari,
Majaber wako ndani,
Ka huna wako samahani,

Niko area za Lavi spending,
Hii ni profit ya jana na juzi,
Zip zero pressure ,
Sibongi mingi mi si sudi

Leta upuzi, abro chwadi
Mawikendi ,sikosi uradi
Dry fry ni ya mbuzi,
Adisia kachumbari

Vile Aisha, hunipikia mahamri
Naona ni ye ,nitamarry
Biz kama si halali
Ndio italeta pesa na mahunnie

Lighter leta, washa kibong
Papa fathela, ama jacom
Hii ni, spectacular form
Silali hoi no more

Wera yangu, ilianza ka hobby
Usiwahi ngoja, white collar
Mandege, ndo ndula za mbogi
Zimemeremeta kwa solar
Kwa grao bado mi ndo mbombi
Man badder than Ebola

Nasababisha na maarif,
Ni mabrenjin na mangwangi
Majaber wako ndani,
Ka huna wako samahani,

We unatoka area gani,
Hatukujui na hatujali,
Ka hazitashuka mi sidhani,
Good vibes mambo shwari,
Good vibes mambo shwari,

Nasababisha na maarif,
Ni mabrenjin na mangwangi,
Good vibes mambo shwari,
Good vibes mambo shwari,
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani

Ati Breeder hajulikani
Please mind what you say bih
Ninabear ratings hadi Eld
Greatness ndani ya kila gene

Kila fan shukrani
Bila nyinyi mi nitavanish
Tukilinki mnichome kijamo
Matisho za TK zisonge kusonga

Eeh fasta kanyaga
Tufike form haraka
Pongi tu no haga
Form za uwati hapana

Kuna lingo, napenda
Kama msupa, kukujaga mapema
Ey ey ,ndani ya keja
Hujui ni lini juu hakuna kalenda

Ah tuko wengi but am the illest
Team mziki sai big business
I was up on your wing like bittes
Ni mapapapa ziskike

Ukiniboo najikata gillete,
Ni maswara, sidai shindwe
Ka ni opp na ni war anadai
Si tuko set ka vixen

Nasababisha na maarif,
Ni mabrenjin na mangwangi,
Majaber ,wako ndani
Ka huna wako samahani


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists