Denri Lyrics
Breeder Lw-Denri
Jangili, bazenga daddy,
Ushaipiga all white ,uking’aa ka malaika
Bagiko ya Denri ,ndani ngiri ka tisa,
Nilifika manduru ,waroro kuwika
Ka hujadunga Denri ,basi Asta Lavista
Denri ni leather ,feel hio texture,
Na space pia ,ni bigi ya magbag,marizla
Hood nikipiga ,ndo sura naficha,
Kila kitu ni Denri kile, imebaki ni sneakers
Drip ka vyombo, zimeoshwa sahii
Tisho piga fiting ,ndio msupa atii
Kabla ufike ligi ya cladi zangu,
Kwanza jua bei ya Denri ndo upime my g,
Vako za begiko ni Denri
Fake Fendi ondoa chagua Denri
Cheza ki wewe cheza ki Denri
Lenga ma Daso chukua chukua Denri
Vako za begiko ni Denri
Fake Fendi ondoa chagua Denri
Cheza ki wewe cheza ki Denri
Lenga ma Daso chukua chukua Denri
No comments yet