Boutross Munene – Shrap Over The Rest Lyrics

Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap over the Rest
Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds
Looku Ulipiga Lini Nilitoka Kwa Bed (Nilitoka kwa bed aye)
Roho Chafu Siku Hizi Hukuwaga Na Scent
Mlichachisha Mwaka Mwaka Mpya Mko Dead
Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap over the Rest
Marapper Walisema Wana Bars Nikawapa Pen
Social Distance Hadi WhatsApp Groups Mi Nilileft
Aje Niskize Fala Alitoa Intelligence Kwa Net
10 Million In Views Na Bado Ngati Ako Kwa Debt
Ndula Imetoka Ulaya Shawty Ni Mfrench
Belt Ni Dolce Gabbana Cheki Hiyo Flex
Vile Tunachange Malane Kwa KBX
Shawty Ako Nyuma Ni Deng Na Anakam Na KiVX
Nimechoka Kubonga Na Vile Wasela Wanapenda Pretence
Mali Ni Safi Shida Ni Mbona Inatoaga Stench
Since you’re Hardly Bothered Unadhani Hakunaga Haja Ya Kutense
Mpaka Mask Man Aingie Kwa Keja Na Ni through Ya Fence

Aye
Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds
Looku Ulipiga Lini Nilitoka Kwa Bed (Nilitoka kwa bed aye)
Roho Chafu Siku Hizi Hukuwaga Na Scent
Mlichachisha Mwaka Mwaka Mpya Mko Dead
Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap over the Rest

Kwani me Mode Nani Alisema Mi Nakuaga Na Answers
Cheki Huyu Mthii Anabonga Akizoza Namtumia Walach Ako Handas
Mi Bouty Malaya Mi Husema Ukweli Sijai Kuwa Liar
Ukweli Mi Hudinyanga Matha Wa Kijana Fulani anajiitanga Uncle
Usicheze Na Sauce Fiend Amejaza Matope Kwa Fanta
Usicheze Na Boss Buda Utapata Hiyo Salo Hujapata
Ulichukua Loss Sai Unawin Na Si Jana Ulianza
Mambanga Wanatafuta Shume Tangu Nitoe Vile Story Ilianza
Mbogi Ahead Perfect Timing Mbleina Alilambwa (lambwa)
Plug Anapima Maheadi Ni Ka Anadai Kuilamba
Anajichocha Ati Ni Tafash Na Amepaka
Fanya Vile Utafanya Ju Ni Shrap over the Rest

Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds
Looku Ulipiga Lini Nilitoka Kwa Bed (nilitoka kwa bed aye)
Roho Chafu Siku Hizi Hukuwaga Na Scent
Mlichachisha Mwaka Mwaka Mpya Mko Dead
Fanya Vile Mtafanya Ju Ni Shrap over the Rest

Street Imejaa Jangili Piga Hiyo Left
Goon Amejaza Wino Hadi Kwa Neck
Food Kwa Keja Trappin Me Niko Fed
Trap Lord Waambie Neiba Aliita Feds


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists