Mbona Lyrics

Aye Ceezy pass me the lighter
Yoh Ceezy pass me the lighter

Mi huingia base naitinga
Geri haijali makali mapinga
Ngeus alitry kunitinga
Shida alipata kundule imetingwa
Nilipatwa niki..aaah aye aye yeah yeah
Yeah yeah yeah

Mi huingia base naitinga
Geri haijali makali mapinga
Ngeus alitry kunitinga
Shida alipata kundule imetingwa

Nilipatwa nikiseti nikashikwa
Nikauliza mambang’a mnadai mapinga
We ulikuwa wa kwanza kunitoka
Sai unateta ati bouti anaringa

Mi nimelelewa jiji
Tangu enzi za Malboro na Fila
Kukuwa mauru lazima
Tangu niingiage na braids mbicha

Hata wahenga walinena
Bado walidedi na stori ikaskika
So ata ukichotwa na dinga
Waonyesha hiyo ndole ukizima

Huh, mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang

Huh mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang

Mbona usitense eeey
Mbona nipate maganji nisiflex
Mbona ni yengs eey
Usifanye maboy waingie kwa den?

Mbona kairetu
Aliendaga na boy wangu mengo?
Mbona ni sare
Na nyi mko kwa keja na pull na Benz?

Huh uh, come see mi dash (Huh)
Vile na-uh-uh barafu kwa neck
Shawty ni snake uh, nakataga the neck uh
Bouti the shrap god ikiwa na Ceezy ni banger

Siku hizi their voice are hateful
Ukitry kuzoza mabooster faithful
Vile maboy wanabonga
Mi hucheka na team tukikula ndengu

Ju ya mahali nimetoka
Kurudi sidhani I’m able
So ukishika makali utanyongwa
Bouti anazidi kusonga

Huh, mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang

Huh mbona you mad?
Mbona lazima nichill na fala ndio nisonge ahead
Mbona ni ndenga mbona unajidaingi saint
Mbona unapenda kucuddle na unajua unadaingi bang


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists