Bora Nikalewe Lyrics

Na uhakika ushanivuruga wewe
Maana si utani kila kitu nashika wewe
Mwenyewe kiutani huku unaniangusha wewe
Umeniwekea kwa mbali kichwa unanivuruga wewe

Naona tabu unavovunga
Utanijibu sangapi (Saa ngapi)
Mashetani yamepanda
Mganga wangu uko wapi?

Kwani ushagoma (Ayaya)
Mi nahisi haupo (Aaa iii)
Kwani ushagoma (Ayaya)
Mi nahisi haupo (Aaa iii)

Kwani ushagoma (Ayaya)
Mi nahisi haupo (Aaa iii)
Kwani ushagoma (Ayaya)
Mi nahisi haupo (Aaa iii)

Bora nikalewe, bora nikalewe
Bora nikalewe, bora nikalewe

Nikukumbushe nini kwani we hauoni
Eti we uko na nini nikuote tu ndotoni
Baridi si joto mwilini mi mwenzio sioni
Tulivolishana ya nini siku ile ndotoni
Mama weee

Umekuja na kupepea
Mi nitalia na nanii
Sijazoea vya kupotea
Wakati shada uko hewani

Kwani ushagoma (Ayaya)
Mi nahisi haupo (Aaa iii)
Kwani ushagoma (Ayaya)
Mi nahisi haupo (Aaa iii)

Bora nikalewe, bora nikalewe
Bora nikalewe, bora nikalewe

Bora nikalewe, bora nikalewe
Bora nikalewe, bora nikalewe


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists