TikTok Lyrics
Odi wa Murang’a, Taniua mmmmh
(Magix Enga on the Beat)
Dem mpoka home, vidole kwa comp
Si kila tym akitype ana search pon
Ni game condon tumalize ndom
Tutaziwasha hadi mjue hii ni form
Hiphop, hiphop
Si hufanya ngoma zote mpaka hiphop
Na Shiko, Wakiritho
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok
Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok
Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok
Weekend from the bottom
Zile enzi za ma belly bottom
No comments yet