Peng Wa Mafilter Lyrics
Boondocks Gang-Peng Wa Mafilter
Odi wa Murang’a
genge la boondoski,
Mi hukata maji kama Musa,
Chapanisha manzi ka kipusa,
Medusa kipusa
Hii inafanya mpaka unaweza shusha,
Tereren sitakuficha,
Akisema stick sio occasion,
Na weng weng weng amefuliza,
Na anapenda mchezo ya kuingizwa,
Rize ze zeng niwe nacheza,
Huyu ni goshodo wa magiza,
Aki we Njeri unanipima ,
Ati we si peng wa mafilter,
Nilimpea round akabaki gai fafa,
Akafika ground nikadhani ana kifafa
Taniua,
Ati we si peng wa mafilter,
Nilimpea round akabaki gai fafa,
Akafika ground nikadhani ana kifafa,
Tako za Jericho zimekuwa za ufafa,
Si hukula mbuku hata kama haina cover,
Mtoto mkubwa anataka matiti,
Ya mama yake tokea fiti ndo dem yako aniite bae,
I’m a god god ukiniona sema me,
Usiworry leta dem yako useme ngwe’
Baby boo, sema ngwe’
Kiss commander promise,
Siwezi kumwaga morning,
Form kunyonga nyongi,
Napendaga miti kama Tazan mongi
Terere sitakuficha,
Akisema stick sio occasion,
Na weng weng weng amefuliza,
Na anapenda mchezo ya kuingizwa,
Rize ze zeng niwe nacheza
Huyu ni goshodo wa magiza
Aki we Njeri unanipima
Ati we si peng wa mafilter
Are you peng, ama ni filter
Can you dance, cabonita
Inamake sense kama inalipa
Huyu mamu aliniwai sikuitisha
Woii, wooi, pedi ameninokia
Wooii, woooii na amebonda ka bondia
Wooii, woooii sina cash chorea
Na masaa imefika
Tereren sitakuficha,
Akisema stick sio occasion,
Na weng weng weng amefuliza
Na anapenda mchezo ya kuingizwa
Rize ze zeng niwe nacheza
Huyu ni goshodo wa magiza
Aki we Njeri unanipima
Ati we si peng wa mafilter
Ni ponty isipokuwa kana forehead
Ni kakonki kanakaanga ma 4A
Vile kanarhyme kanakalia ka 4M
Vile kameiva nashuku kana oven
Panda panda
Panda ukipanga na njama
Na panga panga
Mkikata thutha ni banger
Twanga, tinga tinga si hupenda kukulima
Tinga tinga siwezi penda kukunyima
Kuku kima ni ka Hiroshima
Sikijui jina kinataka dinner
Kinataka bima, kinataka Dimmer
Mi nataka kanijenge irima
Kawache kunipima
No comments yet