logo
  • Home
  • Artists
  • Albums
  • Genres
  • News
  • Contact
  • Lyrics
  • Albums
  • Artists
  • #
  • A
  • B
  • C
  • D
  • E
  • F
  • G
  • H
  • I
  • J
  • K
  • L
  • M
  • N
  • O
  • P
  • Q
  • R
  • S
  • T
  • U
  • V
  • W
  • X
  • Y
  • Z
Submit Lyric

Search Song Lyrics

  • Lyrics
  • Albums
  • Artists

Billnass

Tumeokoka

Tumeokoka Lyrics

Play Song

Billnass-Tumeokoka

Tumeokoka,
Tumeokoka,
Tumeokoka,

Kwenye maunga
Kwenye mapumba ,Tumeokoka
Kwenye waganga, Tumeokoka
Kwenye kukaba

Kata kiroba,
Wape kasusu,
Vumbi ka Congo,

Aee aee shetani
anaona noma
Aee aee shetani
anaona noma

Patashika, patachimbika
Patashika,patachimbika

Tumeokoka, tumeokoka
Tumeokoka, tumeokoka

Kwenye maunga
Kwenye mapumba
Kwenye waganga
Kwenye kukaba

Kata kiroba
Wape kasusu
Vumbi ka Congo,tumeokoka

Maje majanga
Kumgu manyanga
Mtaani waganga
Ku Gucci matanga

Wake za watu je
Kupiga kavu je
Kuvujisha video, za utupu

Patashika patachimbika
Patashika atachimbika
Tumeokoka siku hizi hatupigi mapuchu
Ka ingekuwa zamani nishapita na Zuchu
Tumeokoka siku hizi hatutimbi na visu
Huo usela mabiz hatutaki mavisu

Kwenye mapumba
Kwenye waganga
Kwenye kukaba

Kata kiroba Tumeokoka
Wape kasusu
Vumbi ka Congo Tumeokoka

Aae shetani
anaona noma


Related Lyrics

  • Do me
    Billnass ft. Nandy
  • Lyric Music
    Deka
    Billnass ft. Marioo
  • Lyric Music
    Huna Baya
    Billnass ft. Meja Kunta

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

No comments yet

LEAVE A COMMENT

WRITE A COMMENT Click here to cancel the reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

pengting song cover image

utawezana cover
zuchu tanzania


Recent Posts

  • Mugithi Music and Popular Mugithi Artists And Songs
  • Rayvanny, the Tanzanian music star – Biography and Discography
  • Everything You Need to Know About Diamond Platnumz – 2021 Biography
  • Ethic Entertainment Releases First Album titled Big Man Bado Odinare

Tumeokoka

Billnass-Tumeokoka

Tumeokoka,
Tumeokoka,
Tumeokoka,

Kwenye maunga
Kwenye mapumba ,Tumeokoka
Kwenye waganga, Tumeokoka
Kwenye kukaba

Kata kiroba,
Wape kasusu,
Vumbi ka Congo,

Aee aee shetani
anaona noma
Aee aee shetani
anaona noma

Patashika, patachimbika
Patashika,patachimbika

Tumeokoka, tumeokoka
Tumeokoka, tumeokoka

Kwenye maunga
Kwenye mapumba
Kwenye waganga
Kwenye kukaba

Kata kiroba
Wape kasusu
Vumbi ka Congo,tumeokoka

Maje majanga
Kumgu manyanga
Mtaani waganga
Ku Gucci matanga

Wake za watu je
Kupiga kavu je
Kuvujisha video, za utupu

Patashika patachimbika
Patashika atachimbika
Tumeokoka siku hizi hatupigi mapuchu
Ka ingekuwa zamani nishapita na Zuchu
Tumeokoka siku hizi hatutimbi na visu
Huo usela mabiz hatutaki mavisu

Kwenye mapumba
Kwenye waganga
Kwenye kukaba

Kata kiroba Tumeokoka
Wape kasusu
Vumbi ka Congo Tumeokoka

Aae shetani
anaona noma

Search Artists

  • #
  • A
  • B
  • C
  • D
  • E
  • F
  • G
  • H
  • I
  • J
  • K
  • L
  • M
  • N
  • O
  • P
  • Q
  • R
  • S
  • T
  • U
  • V
  • W
  • X
  • Y
  • Z
Logo