Magufuli Ni Kama Nyerere Lyrics
Best Naso – Magufuli ni kama Nyerere Lyrics
Aaaiiii yeey yey yey
Best Naso
John Pombe Magufuli Ni Kama Nyerere amerudi Tena
Magufuli Ni Kama Nyerere amerudi Tena
Kwa Sasa naiona Tanzania mpya
Leo yanatokea kwa sasa amerudisha
Nidhamu Serikalini
Hata mwalimu alikua raisi wa wanyonge na mafukara
Wasinidanganye Niende Wapi Tena
Niendelee kukularaka kimapenzi
Narudi zangu sisiemuni
Kaendelee kukula Raha kimapenzi
Kushika Wala siezi
Pia kwangu Nyumbani sisie
Kushuka Wala siezi
Mie Nyumbani kwangu sisie
Aaaaha
Taifa langu liliingia na Corona
Kalia tukalia kila Korner
Shujaa Wetu Magufuli Mungu akaskia
Mama na wezi hakuna Tena Corona
Tulikua tunaiota
Viwanda Vilivyokufa
Na saizi zinafufuka
Ile mikataba yenye dini yenye corner corner
Sikuizi inaeleweka
Wale mafisadi waliozea kuchota
Sikuizi wameshika adabu wamerudi
Upinzani kuturubuni
Wamerudi upinzani aty kuturubuni
Alishika simu majaliwa
Wamerudi upinzani aty kuturubuni
Jariti ya mama kusu
Nasema watashindwa
Wamepepeta sisiemu juu
Uko wapi Pole pole aliashiru
Doctor mwingi Zanzibar
Eleza mapinduzi Tanzania
No comments yet