Bypass Lyrics
Benzema -Bypass
Kuna rada nilisahau, kuwaambia
Kuna chuom moja, tunafaa kupitia
Kuna madem, mashashola na mabeer
Madem ni sare ,na vijana ni mia
Na ka utafika, bei nitakuadisia
Vibes ni true hakuna za bandia,
Nimecheki Google Maps,
Hauskii kuna, jam hadi Naks,
Nimecheki Google Maps,
Hauskii kuna jam hadi Naks,
Basi tutumie bypas,
Mdogo mdogo, bypas,
Leo tutanyongea, bypas,
Zitawakia,
TukTuk kwa, bypas hapana,
Tutatumia Range Rover ya Savara,
Tupitie Jamia ninunue ,kashata
Speed ya gari hubeba jaba,
Mdogo,ndani ya jeep
Leo tunanyonya ngata kama tick,
Niko kwa moti na Ric
Lift si hupea maarif
Kama baridi inakutesa tesa,
Njoo nikupe form,
Nipitishie pon de leftment,
Iende chain,
Benzema na Savara ,
Wanapendaga mavela,
Melanin rangi sawa,
Changanisha na aiyela
Nimecheki Google Maps,
Hauskii kuna jam hadi Naks
Nimecheki Google Maps,
Hauskii kuna jam hadi Naks
Basi tutumie bypass,
Mdogo mdogo, bypass,
Leo tutanyongea, bypas,
Zitawakia, bypass
No comments yet