Enta Lyrics

Benzema-Enta

Kuna venye leo enta inabamba
Hujalala sijalala
Kuna venye leo enta inabamba

Highschool yenu ,mlikuwa mnavaa shorts
Sisterschool wamebeat but ni ma chop
Piri wa DH ,alikuwa robocop
Mode wa chem alikuwa ,ameoa goldinok

Saa ya ramza, mamorio wanachana
Pano ya wiki kijana, lima shamba
Jembe inakuachia, blisters na alama
Dem wako amevaa Bata na ni skanga

Hujalala sijalala
Kuna venye leo enta inabamba
Hujalala sijalala
Kuna venye leo enta inabamba

Enta ina bamba,
Enta ina bamba,

Wanafunzi wamejipin, na shada
Na walalo wamejaza, jaba kwa juala
Spy wa mode wa phyzo Mr Karanja
Fullscap ya cabbage mfupa ya nyama, Alejandro
Wacha kumake noise kwa daro, Alejandro
Tangu class 2 umehepa pano

Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba
Hujalala, sijalala
Kuna venye leo enta inabamba

Enta ina bamba
Enta ina bamba

Drama inakamu
Leo tunaruka kuruka
Homu hujafanya
Leo utajuta kujuta

Front benchers hawakuwa na mutaratara
Shati mpya nimekula mono fala, aii mono fala
Saa ya P.E mi nadai tukuwe machang’aa


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists