Kidani Lyrics
BenPol-Kidani
I wish unipende unichunge,
Nisiende kwingine,
Tena unifunge ,
Unifumbe na macho
nisione mwingine
Mmmh naheshimu, maamuzi
Hisia kuwa nawe,
Usinifanye nijutie,
Nionekane mpuzi dunia unishangae
Penzi langu
Nahifadhi mapenzi tuyafanye baadae
Penzi lako utamu wa asali,
Nikabidhi nipe kibali,
Penzi tamu asali, ooh baby nipe
Nikabidhi nipe kibali
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala(×3)
Unajua we ndo dawa!
Mwenzako nikiugua,
Kukukosa nachachawa!
Bila shaka unajua
Tena kwako !mimi si chochote
Sisikii sioni, sijiwezi kwa lolote!
Maneno ya nje tusije yapa mwanya
Oooh my love, fikisha kipimo usijeyagawanya!
Oooh my love, heshima upendo na kudhaminiana!
Oooh my love, tufike malengo tukishirikiana
Penzi lako utamu wa asali !baby nipe
Nikabidhi nipe kibali, kwa mbwembwe ni tamu,
Penzi tamu asali, ooh baby
Nikabidhi nipe kibali
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala
Ukinipa kidani, nalala(×3)
Ooh ooh, nalala, nalala
Nalala, nalala, nalala, nalala
No comments yet