Hiyo Ndiyo Mbaya Lyrics
BenPol-Hiyo Ndiyo Mbaya
Nilijua utanifaa,
Maisha yangu, yote mi nilikupa
Umevunja moyo mpaka mifupa
Ulichokifanya, mwenzako najuta
Nilikupenda sana ,nikakuweka moyoni
Mengi uliyofanya, nikajifanya siyaoni
Kurudi late na mitungi kichwani,
Kila siku visa tu na visirani
Mepenzi ya utumwa, siyawezi acha mi niende zangu,
Nilichofunzwa mapenzi sio kupiga mwenzangu,
Onyesha wivu wa mapenzi ,kwa mwenzio
Kama unampenda kweli
We unampenda ya hakupendi,
Hiyo ndo mbaya,
Akijifanya anakupenda sana
Hiyo ndo mbaya,
Kumbe mwenzako anakudanganya,
Hiyo ndo mbaya,
Alafu moyo utauma sana
Hiyo ndo ,mbaya
Mwisho wa siku ,mkibwagana
Hiyo ndo mbaya
No comments yet