Mwisho Wa Dunia Lyrics

Mwisho isiwe mwisho
Mwisho
(Mesesi play it)

Dear God
Ni mtoto wako Bahati
Ningependa tuongee
Tubonge

1, nina mambo ee Mungu ningependa kukuambia
Naomba ruksa na muda tu
2, sijui we unanisikia ama dhambi zabania
Usiende mbali ju

Tunaikosa rikizi Baba, tunaumia
Tunalia Corona Corona
Yule masikini mama asiye na njia
Au watoto wa mitaani omba omba

Mwisho isiwe mwisho
Mwisho, mwisho wa dunia
Mwisho isiwe mwisho
Mwisho, mwisho wa dunia

Hakuna show, hakuna ata doh
Kuna haja gani nijenge hizi flow
When the fans wako locked nyumbani

Mwananchi mfuko iko low
Anarisk curfew asake hata soo
Serikali tuelewe jamani

Waghetto wangu wana tuko taabani
Street kids wakumbukwe na nani?
Tuokoe nilichanga jamani
Corona, Corona ah

Mwisho isiwe mwisho
Mwisho, mwisho wa dunia
Mwisho isiwe mwisho (Yesu wangu, Mungu wangu)
Mwisho, mwisho wa dunia

Sikia, ndio tu nime-marry
Nawasha gari ya maisha nianze safari
Suddenly the end inakam, aje?

Mungu nianze na samahani
Popote tumekosa naomba tuwie radhi
Ju ni siku za mwisho
Tuwe ready ukikam Baba

Mwisho isiwe mwisho
Mwisho, mwisho wa dunia (Machozi yangu ona)
Mwisho isiwe mwisho (Kilio changu ona)
Mwisho, mwisho wa dunia (Mi mtoto wako mbona)

Naomba isiwe mwisho


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists