Bahati ft Otile Brown – Je Unanifikiria Lyrics
Penzi letu likolee
Monday mpaka Sunday
Wacha waongee mi nikupende
Twende mbali wajionee
Usiniache ningojee
Navyokupenda nipokee oh my baby
Je unanifikiria, vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia
Uzuri wa moyo wako
Uzuri ulonivuta kwako
Kwako sioni siambiliki
Kwako nalewa bia
Mambo yananyooka tiki
Mola anatujalia
Nakupenda peke yako mi wako
My baby, my lady
No body badder than you
Nobody badder than you
Je unanifikiria, vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia
Je unanifikiria, vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia
Hii dunia sijampata
Wa kumfananisha na wewe, na wewe
Dunia dunia
My beautiful body nalo fine, fine
Shepu nalo fine, fine
Umbika aki walai
Ni wewe, anipendaye wewe
Anifarijiaye wewe
Aniwazae wewe
Wewe, anipendaye wewe
Anifarijiaye wewe
Aniwazae wewe
Baby baby nauliza
Je unanifikiria? Vile nakufikiria
Je unanishikilia?
Je unanifikiria? vile nakufikiria
Je unanishikilia, vile nakushikilia
No comments yet