Mtaachana tu Lyrics

Bahati x Diana Marua-Mtaachana Tu

Wanacommenti, Insta Twitter nawacheki
Wanadai mtaachana tu
Wanacommenti, Chibu na Zari walidate
Ata na nyinyi pia mtaachana tu

Omuwano, kuni na munji
Hegu simunange
Dada ukoze bingi

Sura ya mama urembo kwa face
Nilikutafutanga aah kama shilingi
Ombi la kwangu niahidi mi nawe milele
Sije tengana yashinde maneno ya wale

Wanaosema ee
Mtaachana tu,
Mtaachana tu, (×2)

Shukurani watoto umenipa warembo
Ka we mama yao
Na bado una joto la mimba
Na we mama lao

Naona mitusi ya Insta na Twitter
Ni kawaida yao
Ametukinga Mungu jamani
Na maneno yao

Hisia zangu nakupa nibebebe
Na moyo wangu pepete
Siri zangu nitunzie
My one and only

Hawajui tuliumbiwa pamoja
Mi nawe mtu mmoja
Niite Adamu wewe Hawa eeh

Mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu

Mara wanasema yaliyopita
Ulikuwa na yule
Wanatamani nikuache usogee wakule
Na watangoja sana aah sana
Hadi kifo hatutaachana tu


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists