Siogopi Lyrics

Sawa Eeeh, sawa
Star beat Boy
Sawa Eeh, sawa

(Naro)

Ah hujui nilipofika mie
Nimefikishwa na nani
Mie niwe maarufu
Nawe uwe maarufu kwanini?

Mara watu waliofika
Unawalinganisha na mimi
Hutaki pakua wala kupika
Haya sio maisha ya mimi

Usiwe kama hawa
Wenye mapenzi yale ya kunawa
No babe
Hauko sawa, wewe eh!

Mi nadhani umesha pwaya
Binadamu wote tuko sawa
Twende sawa
Oh oh

Kutwa unawa DM akina mondi
Eti unaniponda mi hunipendi
Na wao walianza kwenye misingi
Na leo wako busy

Nami vishawishi naona vingi
Unadhani kina Nandy mi siwapendi
Niruhusu ninywe maji nikate kiu yangu
Na niwe busy

Siogopi, Siogopi
Siogopi, Siogopi

Kumbe ooh no
Mapenzi neno butu
Vile wewe unamwaza ye anawaza huku
Ooh alafu anajisifu

Yule muongo mi nahamia huku
Nimeshakuwa na wengi ila sio maarufu
Bora nibakie huku

Na mie naondoka akinuna
Sawa Eeeh, sawa
Vyakulamba vimechosha tafuna
Sawa Eeeh, sawa

Kutwa unawa DM akina mondi
Eti unaniponda mi hunipendi
Na wao walianza kwenye misingi
Na leo wako busy

Nami vishawishi naona vingi
Unadhani kina Nandy mi siwapendi
Niruhusu ninywe maji nikate kiu yangu
Na niwe busy

Siogopi, Siogopi
Siogopi, Siogopi


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists