Pesa Kidogo Lyrics
B2k Mnyama-Pesa Kidogo
Toa toa toa
Toa toa toa
Nasema
Toa toa toa
Toa toa toa
Nitaji savannah, na make up
Nikijichanganya unalipa,
Kwenye pochi, atazuga ana pesa mingi,
Kumbe ana wanja na tissue,
Pesa kidogo anavimba,
Pesa kidogo ati club anaona joto
Pesa kidogo ,pesa kidogo
Pesa kidogo anavimba,
Pesa kidogo ,ati club anaona joto,
Pesa kidogo aah pesa kidogo,
Yaani anakubeza,
Order ya msosi anagoogle,
Mi sijui nitaongea nini,
Mchizi kaanzisha fujo,
Varangati kaniachia mimi,
Pesa kidogo, anavimba,
Pesa kidogo, ati club anaona joto,
Pesa kidogo, aah pesa kidogo
Yaani anakubeza
Pesa kidogo anavimba,
Pesa kidogo ati club anaona joto,
Pesa kidogo , pesa kidogo,
Yaani anakubeza,
Niko na Khali mbovu anavimba,
Ati msanii anaimba,
Mara anajiita simba,
Simba msanii simba,
Pesa kidogo anavimba,
Pesa kidogo ati club anaona joto,
Pesa kidogo ah pesa kidogo
Yaani anakubeza,
No comments yet