Lakini Lyrics

Aah nimejaliwa moyo sijui upo je
Unapendaga kote sijui ikoje
Niwe muwazi nisijeficha
Kweli mimi home mwenzio

Na kama umependwa sema
Ukweli unajenga mapema
Niwe miwazi nisijefika
Wakati we unabaki na funguo

Ili nizugezuge nikiwaona
Nijifiche fiche kwenye kona
Mi fisi nikifosi nyama
Nitapaliwa

Ila ndo ujichunge sana
Nisione unachofanya
Nikiona unachofanya
Nitaumia aah aah

Lakini sijui nipoje nitoe moyo
Niutupe huko
Na mimii ila macho yanabakia
Nayo bado vituko

Lakini sijui nipoje nitoe moyo
Niutupe huko
Na mimii ila macho yanabakia
Nayo bado vituko

Ila moyo koma kuhangaika
Kumbe nyumbani wanaboreka
Hata mtaani wananicheka
Sijui nipoje

Kule nlisema I love you
Na huku I love you
Shikamoo mapenzi una hisia ngapi
Vile nilipenda kule Na huku nimependa

Ili nizugezuge nikiwaona
Nijifiche fiche kwenye kona
Mi fisi nikifosi nyama
Nitapaliwa

Ila ndo ujichunge sana
Nisione unachofanya
Nikiona unachofanya
Nitaumia aah aah

Lakini sijui nipoje nitoe moyo
Niutupe huko
Na mimii ila macho yanabakia
Nayo bado vituko

Lakini sijui nipoje nitoe moyo
Niutupe huko
Na mimii ila macho yanabakia
Nayo bado vituko


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists