Mchepuko Lyrics

Unapoelekea mchepuko wangu
Unanichosha mwenzenu
Wa kumliza liza mke wangu
Jamani unanichosha mwenzenu

Hata kama niko nawe kimwana
Utulivu unatakiwa
Mimi bado nina mwenyewe kimwana
Utulivu unatakiwa

Unamrusha roho kwanini?
Unamtambia amekosa nini
Unaharibu hivyo, nyumbani
Ananililia kila siku mimi

Na unajua kumwacha siwezi
Kanizalia watoto mwenzako
Nguvu za kushaua unaharibu kichizi
Unanipa changamoto mwenzako aah

Unamvalia mini akivaa dera
Unachenjigi mawig
Hata kama sijakupa hela

Wewe una iPhone mwenzako ana Motorolla
Unashindana na Gigi
Kwenye mabendi kutunza hela
Vibaya hivyo

Mchepuko, mchepuko
Unaumiza mke wangu
Mchepuko, mchepuko
Unaumiza mke wangu

Nakupa mapesa unaninita sponsor
Unaniongopea unanikosea
Tatizo ni hicho kishepu na sura chako
Ndo kinanipa mawazo mwenzako

Nashindwa kukuacha mwenzako
Oooh nitafilisika juu yako mchepuko

Unamvalia mini akivaa dera
Unachenjigi mawig
Hata kama sijakupa hela

Wewe una iPhone mwenzako ana Motorolla
Unashindana na Gigi
Kwenye mabendi kutunza hela
Vibaya hivyo

Mchepuko, mchepuko
Unaumiza mke wangu
Mchepuko, mchepuko
Unaumiza mke wangu

Anakujua, anakujua
Unavyomjua mama watoto
Atakufanyizia siku moja

Anakujua, anakujua
Unavyomjua mama watoto
Atakufanyizia


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists