Kolea Lyrics

Naona lately simu nikipiga
Stress inakupiganga
Na hata maybe kuniplay unaniplay
Ona unanichezananga

Mi nasaka hela lete penzi
Nisije kukera nakuenzi

Nyumba maji yote nimelipa
Na mavazi uzidi umbika
Unanikunja sura kunitisha
Ona penzi lako limekwisha

Baby twende polepole
Hata nikikosa polepole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa polepole baby

Baby twende polepole
Hata nikikosa polepole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa polepole baby

Kwenye udhia weka rupia
Nipunguzie mawazo
Hela sio kitu honey
Mwenzio usinitoe chambo

Inaumiza nafsi naomba uwe nami
I miss your touch nakutumani

Nyumba maji yote umelipa
Na mavazi nizidi umbika
Muda wako ndio utaniridhisha
Penzi langu kwako haliezi kwisha

Baby twende polepole
Hata nikikosa polepole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa polepole baby

Baby twende polepole
Hata nikikosa polepole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa polepole baby

Unani nice kidesign
The way you dancing I like it
Na penzi siezi deny
I want you monday to monday

Baby twende polepole
Hata nikikosa polepole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa polepole baby

Baby twende polepole
Hata nikikosa polepole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa polepole baby


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists