Mo Music

Almasi

Almasi Lyrics

Almasi-Mo Music

Mimi ni dhahabu almasi
Labda nifungue Twitter na Facebook
Uone message zao
Pengine utapata wivu wa mapenzi
Usinitese

Maana nimekuwa nyama baridi
Umeniweka kwenye jokovu jipya
Wanihifadhi kwa mapenzi ya baadae

If you, don’t love now
Baby nakushangaa
Uniweke wazi na mapenzi bubu siwezi
Kila kiki ushakisa uchapisa
Ni kisa kwa visa yaani ni vita
Nakueleza, ukweli wa moyo,

Mimi ni dhahabu mimi ni almasi
Usinitese tese ukidhani nitakosa
mimi ni almasi,
Usinitese tese ukidhani nitakosa

Maulana afadhali,
Niwe na moyo wa heri makosa mie
Mengine nayaona kwa umbali
Naigiza sioni,

Laiti ungejua tamaa yangu sidhani ii
Ungeninyanyasa nyanyasa
Kwa kunifanya nijidharau
Mengi sana nimetuliza ndani
Ila hayabebeki
Ingekuwa ushindani ninge-surrender

Mengi sana tumesameheana
Ila haudhamini
Umegeuza upole wangu
Kwa sababu ya kuniumiza

Wajua naeza fanya yangu
Unavyofanya yako na mi nisikusumbue
Shukuru marafiki zako wananipa moyo
Nikuvumilie

Mimi ni dhahabu mimi ni almasi
Usinitese tese ukidhani nitakosa
Mimi ni dhahabu mimi ni almasi
Usinitese tese ukidhani nitakosa

Wajua naeza fanya yangu
Unavyofanya yako na mi nisikusumbue


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists