Alikiba – Tile Lyrics

Nilisimama kwa mbali tile nikaona hutanikumbuka
Vile nilivyo badilika aah nitakuabishaah
Nilivyokua mwanzo na wee ukanitafuta
Pesa nyingi nilishika ah leo nadhalilika
Ni miaka mingi hata ukinitathimini
Hali yangu si thamani inaonesha
Sinalo tena walitenda si vyema leo
Hata pakushika aah sina
Hata musa aliomba sana mola akamvusha bahari tile
Hata mimi niliomba sana mola nikutane na wee tena tile

Tile eehee eehoo
Tile oooh
Niokoee natapatapa
Tile yooo
Tile mahelaa
Tile oooh

Usiniogope tile, tile mi ni mpole sana
Hata kipindi tuna raha unalala nikikuimbiaa
Eti simba, simba sifa simba analiwa
Simba anafugwa tile simba anazaa bado anazaliwa simba
Nimekumiss sana toka tumeachana
Mpaka nimepungua tile Kwa kufikiria
Sasa tema mate (tema mate)
Ya nyuma yapite
Tukate utepe, na tuanze upya tena ilaa
Hata musa aliomba sana mola akamvusha bahari tile
Hata mimi niliomba sala mola
Nikutane na wee tena tile

Tile eehee eehoo
Tile oooh
Niokoee natapatapa
Tile yooo
Tile mahelaa
Tile oooh


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists