Alikiba – Sitaki tena Lyrics

Umenitesa roho ni kweli sio masihara
Kutwa nahuzunika lole
Nikawa kama fala (Nikawa kama fala)
Nilijipa moyo, mbona nitafuna?
Miezi donda ndugu kwangu sugu
Kufutika never
Sasa umeona, urudi tena
Unaomba msamaha wa kurudiana
Sasa umeona, urudi tena
Unaomba msamaha wa kurudiana

Nasema sitaki tena, tena
Mi sitaki tena, tena
Kurudi ya nyuma, tena
Oh sitaki tena, tena
Sasa umeona, tena
Mi sitaki tena, tena
Kurudi ya nyuma, tena
Oh sitaki tena (Oh sitaki tena, oh sitaki tena)

Kama unanishow, mapenzi toka China
Tena una mengi majina, eti love designer
Wanakuita designer, unavyojua kushona
Unavyoringa kama nyuzi ya shanga
Kutikisa nyonga
Sasa umeona, urudi tena
Unaomba msamaha wa kurudiana
Sasa umeona, urudi tena
Unaomba msamaha wa kurudiana

Nasema sitaki tena, tena
Mi sitaki tena, tena
Kurudi ya nyuma, tena
Oh sitaki tena, tena
Sasa umeona, tena
Mi sitaki tena, tena
Kurudi ya nyuma, tena
Oh sitaki tena (Oh sitaki tena, sitaki tena)
Sasa umeona, urudi tena
Unaomba msamaha wa kurudiana
Sasa umeona, urudi tena
Unaomba msamaha wa kurudiana
Nasema sitaki tena, tena
Mi sitaki tena, tena
Kurudi ya nyuma, tena
Oh sitaki tena, tena
Sasa umeona, tena
Mi sitaki tena, tena
Kurudi ya nyuma, tena
Oh sitaki tena (Oh sitaki tena, sitaki tena)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists