Alikiba – Oya Oya Lyrics
Chovya choyo
Uko ng’ari ng’ari mama
Wa majuu, ushakukubali moyo
Nakuita eh, nakuita
Nisikie mami
Makopa makopa yanajiita
Jina lako nani?
We ni moko, limenipotosha
Nikutinge moka, tai na suti
We kocha kocha, hatari na nusu
Nafunganga moko, dakika buku
Kama kupenda nimedhaminia kwako
Sa oya oya
Naheshimu mapenzi kutoka kwako
Sa oya oya
Nikuoe ndo uone mama
Sa oya oya
Na ni mwendo wangu
Mama ooh
Oya oya, oya oya
Oya oya, oya oya
Navimba najiona mwamba
Kwenye mboni siruhusu chongo maa yoo
Yaani kama noma na iwe noma yoo
Waonyeshe kipenzi changu cha ngama
Waite yoo, waite ite
Waite yoo, waite ite
Waite ite, waite ite ite aah
Waite ooh, waite te yoo
Nakuita eh, nakuita
Nisikie mami
Makopa makopa yanajiita
Jina lako nani?
We ni moko, limenipotosha
Nikutinge moka, tai na suti eh
We kocha kocha, hatari na nusu
Nafunganga moko, dakika buku
Kama kupenda nimedhaminia kwako
Sa oya oya
Naheshimu mapenzi kutoka kwako
Sa oya oya
Nikuoe ndo uone mama
Sa oya oya
Na ni mwendo wangu ooh
Mama ooh
Oya oya, oya oya
Oya oya, oya oya
No comments yet