Dodo Lyrics

Kupenda ni vitendo
Si maneno maneno
Leo nakupa kitengo
Kwa kufika malengo

Umeziba mapengo
Kwa upendo upendo
Eeh bwana wala huzingui
Anzeni vikao vya send off yeah

Maana we mrembo nakujuza
Mama nashukuru umekuza
Chanda chema pete nitakutunza
Na maa ngoja wote wapuuza

Na umeshanizima
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

Na umeshanizima wee
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

(Dodo langu beiby)
(Nikitikisa halitondondoka)

Ka majani na udongo yeah
Nnje ya sayari nikuite kimondo oooh
Kama chungu ya kibongo
Na usiyape time yakutibue nyongo (No)

Maana we mrembo nakujuza
Maana nashukuru umekuza
Chanda chema pete nitakutunza
Na maa ngoja wote wapuuza

Na umeshanizima eh
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Na yoyoyoyoyo-your love
Your love your love

Dodo, mama dodo (Dodo langu wewe)
Dodo, mama dodo (Hata utikisa halitodondoka)
Dodo, mama dodo (Dodo langu wewe)
Dodo, mama dodo (Dodo)

Dodo, dodo langu wewe
Dodo, dodo, dodo langu wewe
Hata utikisa halitodondoka

Mama muogopa, mama muogopa..
Mama muogopa, mama muogopa..


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists