Alikiba – Asali Lyrics

Kama kulia nitalia na yeye
Kucheka nitacheka na yeye
Kuimba nitaimba na yeye
Ni fuhara
Kuteseka nitateswa na yeye
Ahh akisababisha yeye
Stress akinipa yeye ni sawa
Hata dunia aah iumbwe upya
Mimi nitakupenda mpaka mwisho
Hata dunia aah iumbwe upya
Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho

Hata uende mbali oh
Mbali asali yangu mi hodari
Hodari hodari
Hata uende mbali oh
Mbali asali
Asali yoo wangu
Hodari ooh
Tarara tata raa
Tarara talanta tarara
Ta raa tarara tataraa
Tarara tata raaa
Talanta tata talanta
Tarara tata raa
Tarara talanta taraaah

You are my enjoy pretty pie
Raha tu unazonipa we umesababisha mi kichaaa
Kama ni dawa niambie tu
Maana mi presha juu yako tu
Ni wewe tuu, ni wewe tuu
Hata dunia aah iumbwe upya
Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho
Hata dunia aah iumbwe upya
Mimi nitakupenda aah mpaka mwisho

Hata uende mbali oh
Mbali asali yangu mi hodari
Hodari hodari
Hata uende mbali oh
Mbali asali
Asali yoo wangu
Hodari ooh
Tarara tata raa
Tarara talanta tarara
Ta raa tarara tataraa
Tarara tata raaa
Talanta tata talanta
Tarara tata raa
Tarara talanta taraaah

Amore mon chéri
Khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah, kahbulah
Amore mon chéri (mon chéri)
Khabulah, khabulah, khabulah, kahbulah


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists