Watakusema Lyrics
Ali Mukhwana-Watakusema
Watakusema
Yesu akatenda miujiza,
Akatembea juu ya maji,
Na bado wakamsema,
Aliponya ,Batimayo
Akafufua, Lazaro
Na bado wakamsema,
Kama walimsaliti Yesu,
wewe ni nani,
Bado watanisema,
Kama walimsaliti Yesu,
Bado watanisema
Bado watakusema,
Bado watanisema,
Unakula nao unafanya kazi nao,
Na bado wanakusema,
Ukifanya hili ukifanya lile,
Na bado wanakusema,
Sasa tenda mema uenda zako
Tenda mema Mola atakulipa
Tenda mema ,ndugu tenda mema kaka
Mola atakulipa,
Bado watanisena bado watanisema,
Mazuri mabaya watakusema,
Bado watanisena bado watanisema
Tenda mema nenda zako
Tenda mema uenda zako,
Yuko Mola ,
Atakulipa atakulipa,
Bado watanisema wewe, bado watanisema
No comments yet