Usinipite Lyrics
Ali Mukhwana-Usinipite
Usinipite mwokozi, unisikie!
unapozuru wengine usinipite;
Usinipite mwokozi unisikie Bwana!
unapozuru wengine Bwana usinipite
Usinipite mwokozi unisikie Bwana
unapozuru wengine Bwana usinipite
Naomba!Yesu unisikie
Unapozuru wengine usinipite!
Yesu unisikie’
Unapozuru wengine usinipite
Mtetezi wa mbingu ni wewe’
Njia ya uzima ni wewe Bwana
Hakuna mwingine kama wewe Jehova Shammah”
Ombi letu ni kwamba unapozuru wengine
Unapotembelea wengine usinipite Bwana
Usiniache mwokozi wangu!
Wewe ni njia ya uzima Bwana tunakupenda ooh!
Baba yangu ooh ninakupenda sana
Nani mwingine kama wewe ninakupenda aah!
Usinipite Bwana, wewe ndiwe njia ya uzima
Nani mwingine kama wewe ila wewe Baba
Siwezi kamwe usinipite Bwana
Yesu unisikie;
unapozuru wengine usinipite
(Baba nakupenda Baba)
Yesu unisikie”
Unapozuru wengine usinipite;
Hakuna jambo gumu kwako Baba
Hakuna jambo linalokushinda mwokozi
Wewe ni Mungu wa Baraka
wewe ni Mungu wa upendo Bwana
Nani mwenye upendo kama wako mwokozi
Nani mwenye nguvu kama zako Bwana”
Kiti chako cha rehema Bwana
Nakitazamia miye
Magoti napiga mbele zako Baba aah
Usinipite Bwana
Yesu unisikie
unapozuru wengine usinipite
Yesu unisikie
Unapozuru wengine usinipite
No comments yet