Tazama Lyrics

Ali Mukhwana-Tazama

Kwako mimi natazama,
Kwako mimi natazama,

Sheria yako Imo moyoni mwangu,
Kuyafanya mapenzi yako yote ,
Sheria yako Imo moyoni mwangu,
Kuyafanya mapenzi yako yote ,

Unitumie jinsi upendavyo Baba,
Unitawale jinsi utakavyo,
Unitumie jinsi upendavyo Baba,

Kwako mimi natazamia,
Kwako mimi natazama,

Furaha yangu siwezi ficha Bwana,
Kwa yale yote umenitendea,
Furaha yangu siwezi ficha Bwana,
Kwa yale yote umenitendea,

Sheria yako, Imo moyoni mwangu
Kuyafanya mapenzi yako yote
Sheria yako, Imo moyoni mwangu
Kuyafanya mapenzi yako yote

Kwako mimi natazama
Kwako mimi natazama

Uliye ndiye ndiwe,
Wewe uliye neno langu la mwisho,
Ni wewe wewe uliye neno langu ,

Uliye ndiye ndiwe,
Wewe uliye neno langu la mwisho
Ni wewe,  wewe uliye neno langu


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists