Sifa Lyrics

Ali Mukhwana-Sifa

Unastahili sifa Bwana Mungu
Unastahili sifa Bwana

Uliyenipa uzima
Uzima wa bure
Unastahili sifa Bwana

Uliyenipa uzima
Uzima wa bure
Unastahili sifa Bwana

Kwa haki yako nimetawala dunia,
Kwa haki yako nimepata kibali,
Kwa haki yako nimetawala duniani,
Kwa haki yako umenipa kibali,

Unastahili sifa Bwana Mungu
Unastahili sifa Bwana

Uliyeziumba usiku na mchana,
Mimi mwenyewe ni kazi ya mikono yako,
Baba nitumie jinsi upendavyo,
Nami nitumike jinsi utakavyo,

maana bila wewe mimi ni kazi bure,
Maana bila wewe mimi si chochote,

Kwa haki yako nimetawala dunia,
Kwa haki yako nimepata kibali,
Kwa haki yako nimetawala duniani,
Kwa haki yako umenipa kibali,

Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana

Pokea, pokea sifa Bwana
Pokea chukua Yesu,
Pokea chukua Yesu, pokea chukua
Pokea chukua Yesu, pokea chukua

Kwa haki yako nimetawala dunia
Kwa haki yako nimepata kibali
Kwa haki yako nimetawala duniani
Kwa haki yako umenipa kibali

Unastahili sifa bwana Mungu
Unastahili sifa bwana


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists