Nikuabudu Lyrics
Ali Mukhwana-Nikuabudu
Hakuna Mungu mwingine ,
Kama na wewe Yesu,
Tunaliabudu jina lako mfalme,
Sifa na maabudu,zote ni zako
Sifa na maabudu zote ni zako
Wewe ni zaidi ya mshindi,
Wewe ni zaidi ya mshindi,
Tangu enzi unaitwa Mungu
Unaitwa Mungu mwema
Ni nani mwingine aliye kama wewe
Wewe Bwana,
Sifa na maabudu zote ni zako
Sifa na maabudu zote ni zako
Hakuna kama wewe Yesu
Hakuna mwenye neema kama yako mfalme
Kwani mi ni nani unitunuku hivi Baba
Umenipa uwezo wa kuona siku nyingine
Umenipa uhai Bwana
Mausia yako kaiweka sahihi
Sifa na maabudu, zote ni zako
Sifa na maabudu, zote ni zako
Katika majaribu Ayubu alishinda
Wana wa Israeli ukawashindania
Na mimi najua utanishindania
Yote unayopitia Mungu yuko pamoja na wewe
Kile nakuomba mpe sifa zote
Kwako Yesu
Sifa na maabudu, zote ni zako
Nakupa zote
Sifa na maabudu, zote ni zako
Nakupa zote Bwana
No comments yet