Abdukiba ft Alikiba – Hainogi Lyrics

Kama huna senti, basi utapagawa
Wenzako wanahonga we unalala njaa
Watu wanacheka na kuna raha
Shida zako weka kando hakuna ujamaa
Na tukiwa na vibe hatunaga aibu
Waliokuja na abaya wamevua hijabu
Naona maajabu kukosa tungi Club
Madenti wanadate mpaka na vibabu

Ona Simba bila Yanga (Hainogi)
Mchawi bila mganga (Hainogi)
Mchepuko bila danga (Hainogi)
Mjanja bila mshamba (Hainogi)
Ona Simba bila Yanga (Hainogi)
Mchawi bila mganga (Hainogi)
Mchepuko bila danga (Hainogi)
Mjanja bila mshamba (Hainogi)

Lapa lapa anaringa huyo
Tafuta mwingine fasta
Wengi wako single single single
Oya shusha iweke
Naula ubweche
Choma upepe
Au tungi ulete
Na tukiwa na vibe hatunaga aibu
Waliokuja na abaya wamevua hijabu
Naona maajabu kukosa tungi Club
Madenti wanadate mpaka na vibabu

Hainogi, hainogi
Hainogi, hainogi

Ona Simba bila Yanga (Hainogi)
Mchawi bila mganga (Hainogi)
Mchepuko bila danga (Hainogi)
Mjanja bila mshamba (Hainogi)
Ulanji na supu (Hainogi)
Upate udoro na kuku (Hainogi)
Chai na bungo (Hainogi)
Kwa mchawi usiende na ungo (Hainogi)
Ona Simba bila Yanga (Hainogi)
Mchawi bila mganga (Hainogi)
Mchepuko bila danga (Hainogi)
Mjanja bila mshamba (Hainogi)

Hainogi, hainogi
Hainogi, hainogi
Hainogi, hainogi
Hainogi, hainogi
Hainogi, hainogi
Hainogi, hainogi


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists